Siwez kusukaUnaziweza kazi za saloon ya wanawake kama kusuka mitindo mbalimbali ya nywele,kuziosha na kadhalika?
Unataka kazi gani labda?
Yoyote, km ni kuuza duka au part time job yyt ,au kusambaza chakula offisin that's ata kumwangalia mtt kwa nyumba coz nataka nipate pesa ili ije kunisaidia badae ntakapo ingia chuo km nkikosa mkopo si unajua chuo maisha yanaweza kua hard nna miez km mitatu ya kukaa mtaan ivo nduguUnataka kazi gani labda?
Njoo home kwetu basi maana tunatafuta dada wa kaziYoyote, km ni kuuza duka au part time job yyt ,au kusambaza chakula offisin that's ata kumwangalia mtt kwa nyumba coz nataka nipate pesa ili ije kunisaidia badae ntakapo ingia chuo km nkikosa mkopo si unajua chuo maisha yanaweza kua hard nna miez km mitatu ya kukaa mtaan ivo ndugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngj nmalize mitihan ntakujaNjoo home kwetu basi maana tunatafuta dada wa kazi
Kumbe mwanafunzi?
wazee wa fursaNjoo home kwetu basi maana tunatafuta dada wa kazi
Hahhh ntakua RAIA sasa soonKumbe mwanafunzi?
Basi hatutaki wanafunzi hapa nisije nikawekwa jela miaka 30 bure
I say NO
Mtihani mwema