Natafuta tenda au kaz

Unaziweza kazi za saloon ya wanawake kama kusuka mitindo mbalimbali ya nywele,kuziosha na kadhalika?
 
Unataka kazi gani labda?
Yoyote, km ni kuuza duka au part time job yyt ,au kusambaza chakula offisin that's ata kumwangalia mtt kwa nyumba coz nataka nipate pesa ili ije kunisaidia badae ntakapo ingia chuo km nkikosa mkopo si unajua chuo maisha yanaweza kua hard nna miez km mitatu ya kukaa mtaan ivo ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo home kwetu basi maana tunatafuta dada wa kazi
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom