Natafuta tablet ya Lenova ya kununua

hizo ni toleo jipya?LENOVA au LENOVO?
una uhakika unakijua kitu unachokitafuta mkuu?
 
Search facebook .. zawadi technologies au maisha computers huwa wanaziweka.. au nenda physically dukani kwao mtaa wa msimbazi mkabala na jengo la simba sports club
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom