Natafuta taasisi za kulelea watoto yatima au walemavu hapa Dar, nataka kutoa msaada

nyaggad

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
1,160
692
Habari wadau,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta (Ngo)taasisi za kulelea watoto yatima au walemavu zilizopo hapa Dar es Salaam, lengo kubwa kutoa msaada, anayezifahamu anielekeze tafadhali ikiwezekana anipatie hata mawasiliano yao.

Asanteni.
 
Habari wadau,kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta (Ngo)tasisi za kulelea watoto yatima au walemavu zilizopo hapa Daressalaam,lengo kubwa kutoa msaada,anayezifahamu anielekeze tafadhali ikiwezekana anipatie hata mawasiliano yao, asanteni.
👏👏👏
 
IMG-20230512-WA0000.jpg

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Habari wadau,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta (Ngo)taasisi za kulelea watoto yatima au walemavu zilizopo hapa Dar es Salaam, lengo kubwa kutoa msaada, anayezifahamu anielekeze tafadhali ikiwezekana anipatie hata mawasiliano yao.

Asanteni.
Morogoro njia mazimbu iko moja ya watoto walemavu hasa shida ya Akili..nilitaka kulia .. ntakupa contact zao ...Mie nilienda kuwapa chochote ambacho Mungu kanipa0778 500 239 Mr Elia mlezi wa kituo
 
Njoo mikoani wapo wa kutosha na wanapata shida sana. Opportunities nyingi zinaishia kwenye miji mikubwa. Please tuwasiliane zaidi.
 
Back
Top Bottom