Natafuta kituo cha watoto yatima Dar, nahitaji kutoa msaada

Natafuta kituo cha watoto yatima Dar, nahitaji kutoa msaada

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,981
Reaction score
3,635
Tunahitaji kutoa msaada kituo Cha watoto yatima ndani ya jiji la dar es salaam..mwenye kujua kituo kilichopo ndani ya dar es saalam na sio mbali na mjini au kisiwe mikoani yaan rahisi kufikika.

Na kisiwe popolar au mararufu Sana kiwe ambacho akijapokea misaada mingi.mwenye kufahamu Naomba location au contact hapa.

Asante

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mungu akuongezee kama utafanya kweli kuwapatia zawadi hiyo lakini utuombee na sisi tufanikiwe nasi tuwe na roho ya utoaji na kujari
 
Back
Top Bottom