Natafuta sukari guru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta sukari guru

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MINA, Dec 7, 2011.

 1. M

  MINA Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello wana JF!
  Jamani nna rafiki yupo somewhere nje ya nchi ameniambia anataka sukari guru (unfortified/unprosessed sugar)almost 1TON kuna mtu ana idea inapozalishwa hapa TZ nimejaribu kuuliza ktk viwanda vyote vya sukari hapa nchini wanasema hawana!any idea pleaseee![​IMG]
   
 2. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Niliwahi ona wamama wanauza pale kariakoo,inaweza kuwa starting point kwako(kama upo dsm) .goodluck
   
 3. L

  Linkman New Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunaomba contact zako. Sukari guru inapatikana kwa wingi.
   
 4. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,857
  Likes Received: 4,533
  Trophy Points: 280
  Ukiweza kupata contacts za mbunge wa Babati Vijijini, utafanikiwa (cheki website ya bunge). He is into this kind of business!
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Arusha pia inapatikana kwa wingi kwenye maduka mengi ya wahindi.... Nafikiri wanaweza kukusaidia kupata inapotengenezwa kama upo arusha.
   
 6. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Zamani wakati nipo Kilosa kulikuwa na viwanda vingi sana vya sukari guru. Unaweza kuulizia huko pia.
   
 7. che-guavara

  che-guavara Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ungepita maduka ya wahindi kariakoo.hope utapata
   
 8. L

  Linkman New Member

  #8
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna kiwanda kinazalisha Sukari nguru
   
 9. T

  Topical JF-Expert Member

  #9
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nenda magugu babati kuna kiwanda cha sukari guru..wahindi wale wa kiru..ndio kazi zao..
   
 10. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #10
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Manyara sugar wanazalisha kama ulivyo elezwa, but hawa wahindi nazani wana soko lao mahali make huwa naona ma sem trela yao yameongozana yakiwa yamebeba hiyo sukari guru
   
Loading...