Natafuta sperm donor

Hahahaha nilidhani uko serious!!
 
Yani mkuu hata miaka 25 unasema uko mbali kuifikia lakini umeshaanza kuumizwa na mapenzi, sasa mwenzetu uliyaanza lini hadi yameshakukinai? Ni mawazo yangu tu
kifutu bana..nlianza juzi!
 
Sasa nikishadonate hizo spamu mimi napata nini labuda?mtoto anabaki kwako? faida yangu ni ipi?? au unataka kututumia kama daraja
 
Kweli dada utapata PM nyingi sana lakini nilichoshangaa ni kuwa umetoa sifa za mwanamume mtarajiwa hujajieleza kuwa wewe upo vipi, masahib yalokupata hata siku zinayoyoma, je kwa nini hakuna aliyekuweza? Weka tu wazi hata ka umevamiwa na jini mahaba ambalo huwaua wanaume wanaokuhusudu. Ukiwa wazi, tutakusaidia tu.
Hakika, hakuna mwanamke atakayekosa mume/mwanamume wa kumuoa/kumzalisha. HAIWEZEKANI wala hayupo. Kama ni majini yalikusumbua njoo pm hapa dawa ipo na utaolewa na kuzaa. Usijirahisishe hivyo. Wanaotafuta sperm humba kuwaendea hao wenye hiyo mbegu, wakapewa halaf wakapotea kabisa.
 
Tafadhali Mkuu Nakuomba Ni PM Haraka Sana
 
Tuma pcha yako Na utuambie Una shingap ya kununulia hzo mbegu?
 
Hiyo sifa ya weupe imenitoa kwenye mtanange
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…