Natafuta spare za skymark commuter B2 India 125

mtamanyali

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,161
Reaction score
616
Habarini wadau ninapikipiki yangu aina ya skymark commuter juzi ilipata ajali na kuvunjika vifaa vyote vya mbele. Tatizo upatikanaji wa spare zake ni utata naomba kwa anayejua zinapopatikana anisaidia mimi nipo singida.
 
mkuu sorry vipi unywaji mafuta wa hiyo pikipiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…