Don Mangi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,199
- 855
Nahitaji solar backup plan ya nyumba yangu ya kuishi iwe ina uwezo at least kuwasha fridge ya kawaida, tv set,taa za ndani na nje plus accesories ndogondogo kama laptops na kuchaji simu. nipo dsm kwa atakayenipa plan nzuri na affordable possibility ya kufanya naye hiyo kazi ni kubwa.karibuni