Natafuta soko la zabibu

Natafuta soko la zabibu

ba nso

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
668
Reaction score
225
Kwa niaba ya muungano wa wakulima wa Zabibu Dodoma, nina waalika wote tufanye biashara.

Tunazaidi ya heka 10 zenye zabibu zilizo tayari kuvunwa.

Karibuni sana.

Kama upo tayari niandikie ujumbe binafsi "private message".
 
Dhabibu....!! hili ni zao gani tena !? Maana najua Dodoma ni maarufu kwa ulimaji karanga na zabibu.
 
kwa niaba ya muungano wa wakulima wa dhabibu dodoma, nina waalika wote tufanye biashara.

Tunazaidi ya heka 10 zenye zabibu zilizo tayari kuvunwa.

Karibuni sana.
nadhani unamaanisha zabibu,badilisha title ili watu wakuelewe vizuri kaka.tuko pamoja kaka.
 
Mkuu vipi mnatengeneza na wine nadhani nitafurahia homemade local wine
 
mnauzaje kwa kilo??inakuwa approximately mikungu mingapi???mpo vyeyula au mpwapwa??
Kwa niaba ya muungano wa wakulima wa Zabibu Dodoma, nina waalika wote tufanye biashara.

Tunazaidi ya heka 10 zenye zabibu zilizo tayari kuvunwa.

Karibuni sana.
 
Hapana hatutengenezi wine, ila nadhani tutapaswa kufikiri kuhusu hilo.
 
Hapana hatutengenezi wine, ila nadhani tutapaswa kufikiri kuhusu hilo.
 
mnauzaje kwa kilo??inakuwa approximately mikungu mingapi???mpo vyeyula au mpwapwa??

Mkuu Pono, kwa maelezo zaidi tunaweza kuwasiliana kwa ujumbe binafsi, "private message". Karibu sana mkuu.
 
Back
Top Bottom