Una uhakika au uko hapa kuwakatisha tamaa wenzako?Mkuu itakukata watanzania hawatumiagi hivyo makitu
Soko lipo sana na haitoshelezi Mahitaji.Habari za kutwa nzima wadau wa jukwaa biashara
Nimefanya kilimo cha biashara strawberry Sasa wakuu natafuta soko kama kuna anaejua kuhusu soko la strawberry
Mkuu nauhakika inahitajika kwa kiwango kidogo mahotel makubwa ,Ila Kama unamtaji mkubwa nenda kiwandani hivi vya juisi na biscuits kalime kwa mkataba nao ,Una uhakika au uko hapa kuwakatisha tamaa wenzako?