Akuite wewe ama amuite waziri wasaidiane!mueshimiwa waziri alisema muendelee kuzila huku akiwa inawaangakia soko lake,,, Kama vipi umeshindwa zimaliza niite nam tuendee kuzila
Itabidi wasaidiane na waziri.....teh tehAkuite wewe ama amuite waziri wasaidiane!
Ukila zipo kama quinene! Mkojo wote unanukia mbaazi! Hazikubali Nazi wala mafuta!Waziri alisema zina Protein nyingi hivo kuleni ka mbadala wa maharagwe
Utakuwa hujui kuzipika wewe, mbaazi zikitiwa nazi vizuri utajilamba vidole tu..Ukila zipo kama quinene! Mkojo wote unanukia mbaazi! Hazikubali Nazi wala mafuta!
Mkuu una mbaazi grade ipi, kiasi gani, ziko wapi na unauzaje?Naombeni msaada mwenye kujua soko la mbaazi kwa bei nzuri iwe ndani au nje ya nchi.
Magereza yote nchini waweza wauzia mkuu..Hlo ndo soko kwa sasa .Naombeni msaada mwenye kujua soko la mbaazi kwa bei nzuri iwe ndani au nje ya nchi.