mkuu siuende kwa big supermarkets na mahoteli kubwa utafute soko huko mkuuWadau habarini, mimi niko Arusha na nimefuga kuku wa kisasa na wameshaanza kutaga mayai kiini cha njano, naweza kusuply tray 100 kila baada ya siku 5, yeyote mwenye kujua soko anicheki, asanteni
Bei ipoje hapo brotherWadau habarini, mimi niko Arusha na nimefuga kuku wa kisasa na wameshaanza kutaga mayai kiini cha njano, naweza kusuply tray 100 kila baada ya siku 5, yeyote mwenye kujua soko anicheki, asanteni
Mkuu,hiyo ni changamoto,trey sasa ni 6000 na yanazidi kushuka bei,unatakiwa ku pigana sana japo upate soko mkuu
Ni biashara kichaa endapo utaingia kwa mihemko na kulima kwa whatsup mimi ni mkulima mdogo nafanya kilimo na maisha yanaenda bila stressUfugaji na Kilimo ni biashara kichaa
Hivi sasa Mayai ni mengi sana bei imefika 4800 kwa Tray
Usimtishe. Kule dar had 5000 ila yanauzika tu . Hii ni changamoto ya msimu tu. Ngoja mvua zianze yapande beiMkuu,hiyo ni changamoto,trey sasa ni 6000 na yanazidi kushuka bei,unatakiwa ku pigana sana japo upate soko mkuu
Simtishi bob,ni hali halisi hiyo,mvua zinaanza kunyesha lini arusha?Usimtishe. Kule dar had 5000 ila yanauzika tu . Hii ni changamoto ya msimu tu. Ngoja mvua zianze yapande bei
Kuna wakati yanafika 9,500 hadi 10,000.Unapigiwa simu na watu hata huwajui. Ups and down kawaida kwenye biashara.Ufugaji na Kilimo ni biashara kichaa
Hivi sasa Mayai ni mengi sana bei imefika 4800 kwa Tray
Mkuu nauza 5000 tu na ninakuletea ulipo, nicheki hapa pm