Natafuta Soko la mayai

sambeke

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
713
652
Wadau habarini, mimi niko Arusha na nimefuga kuku wa kisasa na wameshaanza kutaga mayai kiini cha njano, naweza kusuply tray 100 kila baada ya siku 5, yeyote mwenye kujua soko anicheki, asanteni
 
Hizo shule zote za boarding Arusha especially za Primary....peleka maombi ya ku supply tray za mayai....sidhani kama utakosa!
 
Wadau habarini, mimi niko Arusha na nimefuga kuku wa kisasa na wameshaanza kutaga mayai kiini cha njano, naweza kusuply tray 100 kila baada ya siku 5, yeyote mwenye kujua soko anicheki, asanteni
mkuu siuende kwa big supermarkets na mahoteli kubwa utafute soko huko mkuu
 
Wadau habarini, mimi niko Arusha na nimefuga kuku wa kisasa na wameshaanza kutaga mayai kiini cha njano, naweza kusuply tray 100 kila baada ya siku 5, yeyote mwenye kujua soko anicheki, asanteni
Bei ipoje hapo brother
 
Ufugaji na Kilimo ni biashara kichaa
Hivi sasa Mayai ni mengi sana bei imefika 4800 kwa Tray
 
Ni biashara kichaa endapo utaingia kwa mihemko na kulima kwa whatsup mimi ni mkulima mdogo nafanya kilimo na maisha yanaenda bila stress
 
Mkuu,hiyo ni changamoto,trey sasa ni 6000 na yanazidi kushuka bei,unatakiwa ku pigana sana japo upate soko mkuu
Usimtishe. Kule dar had 5000 ila yanauzika tu . Hii ni changamoto ya msimu tu. Ngoja mvua zianze yapande bei
 
Simtishi bob,ni hali halisi hiyo,mvua zinaanza kunyesha lini arusha?
Last month ilikuwa tray ni 8500,you can see the different hapo
And hayupo dar
 
Ufugaji na Kilimo ni biashara kichaa
Hivi sasa Mayai ni mengi sana bei imefika 4800 kwa Tray
Kuna wakati yanafika 9,500 hadi 10,000.Unapigiwa simu na watu hata huwajui. Ups and down kawaida kwenye biashara.
 
Back
Top Bottom