Hauko serious na biashara yako..Natafuta soko la uhakika la mayai ya kienyeji. Mwenye connection anipe tafadhali
Tray bei gani?
unapatikana wapi mkuu na bei gani kwa trey?
Weka na mawasilianoNatafuta soko la uhakika la mayai ya kienyeji. Mwenye connection anipe tafadhali
Mayai ya kienyeji pia yanapatikana kupitia namba hii 0689771087.Bei ni 15,000 kwa tray moja na ukinunua kuanziaTray 3 kuendelea bei ni 12,000 tu tuunaweza kupanga ukaletewa ulipo Dar es Salaam. Karibuni
Mimi Nahitaji ila naomba unitumie pc ya hayo mayai ili kujua kama kweli ni ya kienyeji. Na jee yana mbegu? 0658103810. Nahitaji tray 10Mayai ya kienyeji pia yanapatikana kupitia namba hii 0689771087.Bei ni 15,000 kwa tray moja na ukinunua kuanziaTray 3 kuendelea bei ni 12,000 tu tuunaweza kupanga ukaletewa ulipo Dar es Salaam. Karibuni