Natafuta Soko la Korosho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Soko la Korosho

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kipeperushi, Dec 9, 2011.

 1. Kipeperushi

  Kipeperushi Senior Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wanaJF..., naomba mtu mwenye taarifa ya namna ya kupata soko la korosho zilizobanguliwa aina zote mbili (white na brown) toka Mtwara. Packing ni kilo moja kwa kila package. Nahitaji mnunuzi wa jumla kwa soko la Dar es Salaan na Arusha. Ninauwezo wa kuzalisha wastani wa kilo mia tatu kwa wiki. Mtu mwenye interest na biashara hii anaweza kuni-pm, nimpe contact yangu ya simu ili tuongee kibiashara.
   
 2. mrere

  mrere Member

  #2
  Oct 28, 2013
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  kilo unauza bei gani?
   
Loading...