Mimi ni kijana niliejiriwa. Tena ni mjasiriamali. Mwezi Wa kwanza nilianza process za kulima Kabechi hadi kufika Sasa zimekomaa shambani sina mnunuzi. Nina eneo la ekari moja hapa Mbeya eneo la iwalanje kilomita 5 tu toka jijini Mbeya. Atakae vutiwa na hii biashara tuwasiliane.
Bei nafuu sana
Bei nafuu sana