DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,485
Nn
Alah.late Moro hao wanaliwa sana uku kwa sembe kaka hayo mdini adimu,loo!
Hebu nipm tuayajengemimi ni mjasiliamali mdogo , moja ya bidhaa ninazouza ni dagaa wa mwanza waliokaangwa, wasio na mchanga. Naishi Mkoan dar es salaam. Naomba kufaham soko la bidhaa hii ndani ya mji huu wa dsm. Asanteni sana.
Hongera sana kwa kuwa jasiri na kuthubuthu (hebu jaribu mikoa ambayo hakuna mboga za aina hiyo mfano mikoa ya singida,dodoma n.k
Njoo mbez kwa msuguli tuongeeMimi ni mjasiliamali mdogo , moja ya bidhaa ninazouza ni dagaa wa mwanza waliokaangwa, wasio na mchanga.
Naishi Mkoan dar es salaam naomba kufahamu soko la bidhaa hii ndani ya mji huu wa dsm. Asanteni sana.
Njoo mbez kwa msuguli tuongee
Mm npo mwanza kama VP tuwasiliane kupitia,0765445388Mimi ni mjasiliamali mdogo , moja ya bidhaa ninazouza ni dagaa wa mwanza waliokaangwa, wasio na mchanga.
Naishi Mkoan dar es salaam naomba kufahamu soko la bidhaa hii ndani ya mji huu wa dsm. Asanteni sana.
Hapo Moro wana bei gani kwa sado?Alah.late Moro hao wanaliwa sana uku kwa sembe kaka hayo mdini adimu,loo!