Natafuta soko la dagaa wa Mwanza waliokaangwa

mimi ni mjasiliamali mdogo , moja ya bidhaa ninazouza ni dagaa wa mwanza waliokaangwa, wasio na mchanga. Naishi Mkoan dar es salaam. Naomba kufaham soko la bidhaa hii ndani ya mji huu wa dsm. Asanteni sana.
Hebu nipm tuayajenge
 
Hongera sana kwa kuwa jasiri na kuthubuthu (hebu jaribu mikoa ambayo hakuna mboga za aina hiyo mfano mikoa ya singida,dodoma n.k
 
Mimi ni mjasiliamali mdogo , moja ya bidhaa ninazouza ni dagaa wa mwanza waliokaangwa, wasio na mchanga.

Naishi Mkoan dar es salaam naomba kufahamu soko la bidhaa hii ndani ya mji huu wa dsm. Asanteni sana.
Mm npo mwanza kama VP tuwasiliane kupitia,0765445388
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom