NATAFUTA SOKO LA CHOROKO

NATAFUTA SOKO LA CHOROKO

Mkuu kasema kuleni si mlisema mna njaa.
Hapo Masasi wacheki Export trading, Afriasian au HS Impex.
Lakin kwa bei hiyo sidhani coz currently price ni 800-1000 per kg.
 
Mkuu kasema kuleni si mlisema mna njaa.
Hapo Masasi wacheki Export trading, Afriasian au HS Impex.
Lakin kwa bei hiyo sidhani coz currently price ni 800-1000 per kg.
Hii bei ya 800 ipo wapi mkuu
 
Wait tuone mambo yanaendaje
Vp nitaenda kuwachej
Mkuu umelima au umefanya uchukuzi.
Usiwe na haraka bei itakaa fika pazuri kuanzia mwezi wa saba hivi.manake mjini hapa nadhan 1500 mpaka 1700
 
Inakuwaje bei ya kilo moja choroko unauzwa 3500/= alafu mkulima auze 800/=..!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom