lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,914
- 3,371
Wakuu mwenye kufahamu pahala wananunua bata kwa wingi naomba anifahamishe......
Ndugu fafanua bata wapi unaotaka kuuza ili tukusaidie mwongozo.Wakuu mwenye kufahamu pahala wananunua bata kwa wingi naomba anifahamishe......
Ndugu fafanua bata wapi unaotaka kuuza ili tukusaidie mwongozo.
Bata peleka Gulioni magulio ya miji/vijijini utauza
Dar sijajua kama huwa kuna magulioNipo daslam
Peleka hapo Kisutu sokoni, Wachina wanawapenda sana Bata mmoja anauzwa 20,000 - 30,000Wakuu mwenye kufahamu pahala wananunua bata kwa wingi naomba anifahamishe......
Pale makumbusho na kwenye kona ya tabata pana jamaa huwa wanauza bata jaribu kucheki nao.Batavwa kawaida hawa nipo Dar es salaam
Wakuu mwenye kufahamu pahala wananunua bata kwa wingi naomba anifahamishe......
Peleka hapo Kisutu sokoni, Wachina wanawapenda sana Bata mmoja anauzwa 20,000 - 30,000
Nenda kwenye kota za wanajeshi na askari magereza utapata. Ni wafugaji wazuri sanaWakuu mwenye kufahamu pahala wananunua bata kwa wingi naomba anifahamishe......
Nenda kwenye kota za wanajeshi na askari magereza utapata. Ni wafugaji wazuri sana
Bata wapo wa aina nyingi, hao unaowazungumzia wewe ni Bata Bukini ndio wanaouzwa 100,000-150,000 kwa bata mmoja na yai lake ni 50,000. Ila hawa wakawaida bei ni 20,000 - 30,000 kwa mmojaMbona Bei ndogo sana
Ninavyojua bata moja huanzia laki moja
Mitetea bei gani mkuuUkipata informations, nichek na mm ninao wa kutosha, moscovy![]()
Mitetea bei gani mkuu
Nenda kwenye kota za wanajeshi na askari magereza utapata. Ni wafugaji wazuri sana
Una patikana wapi20k tu