Natafuta soko la bamia

sindo

Senior Member
Jul 20, 2011
133
44
Wadau, Hali inatisha! kijana wa kikwere na kasherehe haya yasio kuwa budgeted wengine tumeanza kilimo kujikamua

Ishu inakuja soko

Navuna ndoo 2 kubwa kila baada ya siku moja, nawauzia watu wa sokoni kwa jumla walaliaji ile mbaya

kwa kifupi sina soko la uhakika wadau naomba ushauri,
 
mkuu hicho kiasi unacho vuna ni kidogo sana kusema unatafuta soko la uhakika. ni sawa na mtu awe anatoa trey moja ya mayai kwa mwezi halafu natafuta soko la uhakika,

- mkuu masoko ya uhakika yapo, ila hutayaweza kabisa kwa factor nyingi sana. kuanzanza na hizi.
- njia za uzalishai.
- kiasi unacho zalisha
- usafilishaji,
make hiyo product mara nying soko lake la uhakika ni kusafirisha kwa ndege. huwezi safirisha kwa meli au magari

Soko lipo, Tafuta outlet yako mjini kabisa kama posta, home delivery, ingia contract na supermarket. Mzee mwenyewe utashindwa kutimiza oda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom