Natafuta Softcopy ya JUTASTAT 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Softcopy ya JUTASTAT 2010

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Kibirizi, Feb 20, 2011.

 1. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hbr wana JF natafuta mtu mwenye softcopy ya JUTASTAT ya 2010, kwa maana mimi niliyonayo haina sheria nyingi ie zote ambazo zimetungwa kuanzia mwaka 2002 na kuendelea hazipo hata kama kuna malipo tutaelewana.
   
 2. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Tembelea www.parliament.go.tz kuhusu Sheria zilizotungwa baada ya 2002.
   
 3. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Sidhani kama JUTA wametengeneza software nyingine zaidi ya ile ya 2002 na hii ni kutokana na ukweli kuwa hakujawa na mkakati mwingine wa kurevise sheria zote toka zoezi hilo lilipofanyika mara ya mwisho mwaka 2002, naunga mkono ushauri wa mkuu hapo juu, ukitembelea website ya Bunge unaweza kupata sheria zote zilizotungwa baada ya mwaka 2002
   
 4. R

  Rutakyamilwa JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 1,869
  Likes Received: 1,161
  Trophy Points: 280
  Waungwana pia kama kuna mtu ana soft copy ya h.c.d of any period aturushie kwenye mtandao. Jamani kesi rejea ni muhimu
   
 5. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,519
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Hakuna wa kufanya hivyo bila ya kuwa ni deal. Wabongo na deallization
   
Loading...