Natafuta smartphone used ya 300,000

Natafuta smartphone used ya 300,000

Going Concern

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,213
usiniletee simu za wizi, ntakufunga maisha....
Taja haina ya simu na kwanini unauza...

twende kazi......
 
usiniletee simu za wizi, ntakufunga maisha....
Taja haina ya simu na kwanini unauza...

twende kazi......

mkuu ni pm Nina tecno m3 ina android dual camera ram 512. 135,000 nakupa na kila ki2 ni pm 2ongee biznez
 
Mkuu Nina HTC sensation ipo vizuri sana tunaweza Onana uicheki;nauza coz naitaji galaxy s3.Nipo Dar
 
usiniletee simu za wizi, ntakufunga maisha....
Taja haina ya simu na kwanini unauza...

twende kazi......

HTC one X hipo lakini ongeza Laki na Nusu, nauza kwa sababu mimi biashara yangu ni kuuza simu.
 
htc one x kwa laki tatu na sabini.

reason.. nataka htc butterfly S
 
Nokia lumia 520...ni pm nipo dar es salaam
 
Feature gani unazotaka katika hiyo smartphone? Manake hizo zilizotajwa zote zina feature zinazofanana, labda majina tu.
 
Back
Top Bottom