Victor Nicho
Member
- Mar 27, 2014
- 29
- 1
Natafuta smart phone mpya origina ambayo iko simple mkononi inakaa vizuri na pia iwe na uwezo mkubwa. Bei isizidi laki 3 na nusu ..kwa yoyote mwenye uzowefu wa smart phone na kuzijua vizuri naomba unishauri nichukue ipi na ya aina gani kutokana na mfukoni kwangu kama nilivyo eleza hapo juu ...