ngosha2011 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 681 Reaction score 87 Oct 4, 2011 #1 Natafuta simu used yoyote ambayo kwenye mambo ya internet iwe safi,bei iwe ya kitanzania,yoyote anijulishe
Natafuta simu used yoyote ambayo kwenye mambo ya internet iwe safi,bei iwe ya kitanzania,yoyote anijulishe
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,635 Reaction score 64,551 Oct 5, 2011 #2 ipo hapa samsung orginal, line mbili kila kitu kipo ndani bei ni laki nne na nusu.
Nazareth JF-Expert Member Joined Jul 14, 2011 Posts 247 Reaction score 131 Oct 5, 2011 #3 Mamndenyi said: ipo hapa samsung orginal, line mbili kila kitu kipo ndani bei ni laki nne na nusu. Click to expand... hiyo samsung haina model?
Mamndenyi said: ipo hapa samsung orginal, line mbili kila kitu kipo ndani bei ni laki nne na nusu. Click to expand... hiyo samsung haina model?
M mkalagale Member Joined Sep 25, 2011 Posts 71 Reaction score 8 Oct 5, 2011 #4 ipo nokia N 72 SH 160000 wasaliana nami 0717377027
S selham Member Joined Jul 17, 2011 Posts 55 Reaction score 45 Oct 5, 2011 #5 ipo motorola Q9h smartphone ina windows mobile 6, Mcafee, opera etc jst for a cool 200000 call 0767435430
ipo motorola Q9h smartphone ina windows mobile 6, Mcafee, opera etc jst for a cool 200000 call 0767435430
ngosha2011 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 681 Reaction score 87 Oct 5, 2011 Thread starter #6 Vp x201 siwez pata?
ngosha2011 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 681 Reaction score 87 Oct 5, 2011 Thread starter #7 Model gani?
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 16,094 Reaction score 20,470 Oct 5, 2011 #8 nokia e 72 made in finland bei 300,000 pm km unahitaji
Akthoo JF-Expert Member Joined Nov 5, 2007 Posts 1,064 Reaction score 1,142 Oct 5, 2011 #9 Brand New Nokia X2 02 BEI: 200,000 Tsh.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,943 Reaction score 30,067 Oct 5, 2011 #10 Chanzo cha kutafuta "used" ni bei au??
E elank54 JF-Expert Member Joined Aug 23, 2011 Posts 479 Reaction score 21 Oct 6, 2011 #11 KUNA NOKIA N96, 150! Iko gud
zomba JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 17,240 Reaction score 3,936 Oct 6, 2011 #12 Used Phones (Grade A Quality): Blackberry Torch - $360 Sony Vivaz pro - $130 HTC - $130 Samsung Corby - $130 Nokia E71 - $130 Samsung T746 - $130 HTC Magic - $140 Zote zimefunguliwa na zote ni mint condition. From Canada. Zipo na Blackberry na Iphone 4 Brand new na used lap tops. Kama upo interested ni PM.
Used Phones (Grade A Quality): Blackberry Torch - $360 Sony Vivaz pro - $130 HTC - $130 Samsung Corby - $130 Nokia E71 - $130 Samsung T746 - $130 HTC Magic - $140 Zote zimefunguliwa na zote ni mint condition. From Canada. Zipo na Blackberry na Iphone 4 Brand new na used lap tops. Kama upo interested ni PM.
ngosha2011 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 681 Reaction score 87 Oct 6, 2011 Thread starter #13 Ngoja ntawapm wote ambao nimevutiwa na bei zao,na chanzo cha kutafuta used ni bei
KALYOVATIPI JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 1,414 Reaction score 199 Oct 7, 2011 #14 kuna nokia n95 na memory kad ya 2gb 180000
pisces JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 240 Reaction score 61 Oct 16, 2011 #15 kuna nokia e71,price 250000. Nicheki
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,355 Oct 16, 2011 #16 selham said: ipo motorola Q9h smartphone ina windows mobile 6, Mcafee, opera etc jst for a cool 200000 call 0767435430 Click to expand... Oi am hotly ineed wit Q9h cz yangu imeibiwa... haijachoka? Cz housing yake haipatkan
selham said: ipo motorola Q9h smartphone ina windows mobile 6, Mcafee, opera etc jst for a cool 200000 call 0767435430 Click to expand... Oi am hotly ineed wit Q9h cz yangu imeibiwa... haijachoka? Cz housing yake haipatkan
mojoki JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 1,313 Reaction score 291 Oct 16, 2011 #17 nokia nokia n97 300,000 nokia e63 200,000 nokia e72 250.000 blackbery curve 250,000 kama kuna utakayopenda ni PM tafadhali
nokia nokia n97 300,000 nokia e63 200,000 nokia e72 250.000 blackbery curve 250,000 kama kuna utakayopenda ni PM tafadhali
NZURI PESA JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 5,958 Reaction score 2,966 Oct 17, 2011 #18 ngosha2011 said: Natafuta simu used yoyote ambayo kwenye mambo ya internet iwe safi,bei iwe ya kitanzania,yoyote anijulishe Click to expand... Zipo hapa NOKIA N70,N72 Tsh. 180,000/=na MEMORY CARD YA 3 GB zipo ktk hali nzuri. Pia zipo NOKIA 3220-Tsh.50,000/=Full internet
ngosha2011 said: Natafuta simu used yoyote ambayo kwenye mambo ya internet iwe safi,bei iwe ya kitanzania,yoyote anijulishe Click to expand... Zipo hapa NOKIA N70,N72 Tsh. 180,000/=na MEMORY CARD YA 3 GB zipo ktk hali nzuri. Pia zipo NOKIA 3220-Tsh.50,000/=Full internet
Obi JF-Expert Member Joined Jul 6, 2009 Posts 374 Reaction score 79 Oct 17, 2011 #19 ngosha2011 said: Natafuta simu used yoyote ambayo kwenye mambo ya internet iwe safi,bei iwe ya kitanzania,yoyote anijulishe Click to expand... Mkuu naona unapenda vitu used sana
ngosha2011 said: Natafuta simu used yoyote ambayo kwenye mambo ya internet iwe safi,bei iwe ya kitanzania,yoyote anijulishe Click to expand... Mkuu naona unapenda vitu used sana
pisces JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 240 Reaction score 61 Oct 18, 2011 #20 nokia e71 ipo.... Bei 250,000.... Niko dar