Natafuta simu smart bajeti Tsh100,000

Natafuta simu smart bajeti Tsh100,000

yahoocom

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
331
Reaction score
380
Kama kichwa kinavojieleza nipo ubungo morden nnaihitaji simu aina yoyote iwe na hali nzuri coz kwa simu huaga sidanganywi so jishaurishe kwanza. Inahitajika kwa uharaka; nnnaofa pesa taslim Tsh100,000. KARIBUNI

Updates;
Nnashukuru kwa ushirikiano nnaoupata, lkn kesho asubuhi 20/04/17 inatakiwa kusafirishwa kwenda mkoani na muagizwaji tayar anatiket.
 
Mkuu nicheki kwa namba 0756567087 nikupe simu nzuri tu
 
nakushauri simu utayopata hakikisha iwe ya 4G mkuu. ili uende sawa na technology hata kwa bei pungufu.
 
nakushauri simu utayopata hakikisha iwe ya 4G mkuu. ili uende sawa na technology hata kwa bei pungufu.
Ni kweli kabsa mkuu lakini ungehit point ingekua poa sana kwani tangazo lipo open... yaan wap niipate iyo 4G kwa bajet hiyo
 
Nauza IPhone Apple 6 laki nne tuu, ninashida, ikifika wiki ijayo siuzi tena!!
Asante mkuu, kuna mtu namchukulia mara moja sasa iyo laki4 na usawa huu, pengine watakaopita nakuihitaji watakucheki.
 
Back
Top Bottom