ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,113
Wakuu nahitaji display original ya Huawei p8 lite kama kuna mtu mwenye simu iliyokufa lakini display iko poa anicheki tufanye business.
HahahaUmeharibu simu ya watu....utakoma
Jaribu kwenda kariakoo...au unataka ambacho kinatoka kwenye simu...ili kiwe orginalHahaha
Ndio mkuu,nimenunua hivi vingine ni hasara tupu...display 3 zote zimezinguaJaribu kwenda kariakoo...au unataka ambacho kinatoka kwenye simu...ili kiwe orginal
Utapata kaka endelea kutafuta kwa mafundi...ila ata mimi nilitafuta kioo cha VIWA MAX bila mafanikio simu nimempa mtoto anachezeaNdio mkuu,nimenunua hivi vingine ni hasara tupu...display 3 zote zimezingua
AiseeeUtapata kaka endelea kutafuta kwa mafundi...ila ata mimi nilitafuta kioo cha VIWA MAX bila mafanikio simu nimempa mtoto anachezea
Daaah kiukweli hizi simu zingine kwanini Vifaa vyake vinakuwa ni Shida kupatikana.Aiseee