Naomba kama unaifahamu shule nzuri yenye kiwango kizuri cha ufundishaji na utulivu wa mazingira maeneo ya kuanzia BUNJU mpaka BAGAMOYO naomba nifahamishe. Nina watoto wa miaka ya kwenda shule hizi na ningependa kuwapatia haki ya elimu bora. Naomba jina la shule na namba za simu kama unazo pia. Natanguliza shukran.