Natafuta shule ya temple nifundshe

Natafuta shule ya temple nifundshe

Yaani unaomba msaada, mtu anataka kukusaidia unahisi harufu ya utapeli? Aya buana. Kwa ufupi ID yangu ni ya kawaida inanifafanua, mimi ni mlinda amani mvuruga amani, hili nalitekeleza sana pale zitokeapo vurugu alafu nikaamuliwa kwenda kutuliza, mara nyingi nimekuwa nikiongeza idadi ya majeruhi badala ya kuwapunguza. Fujo itokeapo mjini huwa sichezi mbali na maduka ya simu ili wenye maduka wakichanganywa na ule moshi niutumiao kutawanya waleta fujo nijipatie walau simu mbili tatu au siyo mkuu. ME ndo Mshikawezi Mwezi kijana kuwa makini.

Kazi ya mshaara wa 2.5m haitangazwi hivyo..usidanganye watu hapa!!
 
Huwezi pata unachotaka, mwalimu gani hata unachoomba hujui maandishi yake, ni vipi utatufundishia watt wetu? Eti "temple" hekalu? Refer yr dictionary
 
Watu na hakiri finyu yani jamaa kachapia kidogo tu shida
Hata wewe unae mkosoa mbona hukupata 100% marks za mitihani yako darasani.
Je ulikuwa huna akili za kutosha au kilaza wa kuandika spelling,

It's normal for me,mtu akikosea spelling bcz yeye sio mungu,
Na hujui mtu ameandika akiwa na tension gan

Be serious km unataka kumpa saada msaidie sio maneno mengi kama njiwa

Nilishaweka angalizo kwamba hapa product ya brn mtashuka hapa Kama mwewe na mihemuko.Nawe sasa kwa ajili yako unadhani kakosea spelling au alikuwa hajui hilo neno linaandikwaje.Karibu mama Ndalichako na chainsaw yako.
 
Watu na hakiri finyu yani jamaa kachapia kidogo tu shida
Hata wewe unae mkosoa mbona hukupata 100% marks za mitihani yako darasani.
Je ulikuwa huna akili za kutosha au kilaza wa kuandika spelling,

It's normal for me,mtu akikosea spelling bcz yeye sio mungu,
Na hujui mtu ameandika akiwa na tension gan

Be serious km unataka kumpa saada msaidie sio maneno mengi kama njiwa

Nawe hapo juu ulikuwa na tension gani kutuandikia hakiri.Yale yale,wale wale.
 
mwalimu asiye na maarifa ya kidunia kama huyu ni tabu sana
 
Watu na hakiri finyu yani jamaa kachapia kidogo tu shida
Hata wewe unae mkosoa mbona hukupata 100% marks za mitihani yako darasani.
Je ulikuwa huna akili za kutosha au kilaza wa kuandika spelling,

It's normal for me,mtu akikosea spelling bcz yeye sio mungu,
Na hujui mtu ameandika akiwa na tension gan

Be serious km unataka kumpa saada msaidie sio maneno mengi kama njiwa

Hakiri = Akili
 
nashangaa unaandika waraka mkubwa wa kumkosoa mwenzio wakati wewe mwenyewe ni kiazi tu..

hiki kiswahili cha HUSIJE umefundishwa na nani??
nakereka sana na watu kama nyie

husije=usije
hupo=upo

daaa natamani niwatilie sumu

Ha ha ha ha pole wakati mwingie typing errors...

shida ni pale lugha 2 maneno mawili tofauti inaonekana unacheza movie ambayo u sterling umekushinda boss..

Asante kwa kunirekebisha afisa!
 
Kuandika tu hujui, mwanangu utamfundisha nini?
mshana jr njoo huku umpeleke huyu jamaa kwenye temple akafanye tahajudi
 
Last edited by a moderator:
Hizi temple zipo chache sana Tanzania, labda ujaribu huko Uchina.
 
Mimi ni mwalim ninaesubir ajira,natafuta temple kwa shule hasa za private...ni mwalimu wa physics na hesabu..namba za simu 0654919407/0753157624..tuwasiliane kwa mwenye hitaji hilo

Daaaaahhhhh!!! Ualimu wa BRN ni shiiiida! Eti anaita TEMPLE. Halafu unaambiwa ni degree holder Huyo Kijana. Mhhhh!!
 
Acheni mambo yenu nyie,mbna wanafki sana...cyo lazma kucoment
 
Hizo namba zako kila nikipiga hazipatikani. Kuna chuo hapa kinahitaji mwalimu wa masomo kama yako haraka iwezekanavyo, mshahara ni Tshs 2,500,000/= hiyo ni take home, kama upo tayari kufundisha ila si temple utapewa mkataba wa miaka mitano, ukiwa fit unapewa permanent mkataba baada ya hiyo miaka mitano. Nyumba ipo ina vyumba vitatu, choo, bafu na jiko. Umeme wa uhakika na umeunganishwa kwenye luku ya chuo hivyo ulipii wewe. Maji yapo katika mfumo huohuo kama wa umeme. Ukifanya kazi hiyo miaka mitano, ukitaka kujiendeleza ni jukumu la chuo kukulipia ada na kila kitu kitakachohusu taaluma yako. Kama uko tayari ni PM tafadhari.

Mmmmmh
 
Ni Tanzania au wapi? Nahisi utepeli hapa
 
Mimi ni mwalim ninaesubir ajira,natafuta temple kwa shule hasa za private...ni mwalimu wa physics na hesabu..namba za simu 0654919407/0753157624..tuwasiliane kwa mwenye hitaji hilo

Temple - - - >hekalu
Tempo---> ni kifupi cha temporary ambayo naamini ndio ulimaanisha!!!
Je ni typing error au hujui?
 
Back
Top Bottom