Natafuta shule ya Sekondari ya O'level ambayo ada yake ni Milioni moja kushuka chini,

Caine Chuhira

Member
Sep 17, 2016
27
38
Habari za muda huu Wapendwa wanaJF , samahanini Sana, Naomba mnisaidie kwa yeyote Anayeijua Shule ya Sekondari binafsi ambayo Ada yake iko kuanzia Milioni moja kushuka chini, Anijuze mana nina mdogo wangu nataka nimpeleke akasome.
ikiwa Dar au Morogoro Itapendeza zaidi..!!! Ahsanteni..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom