Jituoriginal
JF-Expert Member
- Feb 8, 2010
- 350
- 31
Wadau, nimehamia hivi karibuni Buyuni Italiano kama unaenda Chanika.
Namtafutia mwanangu shule, ili mwakani aanze darasa la kwanza, shule nataka ya taasisi za kidini au watu binafsi, na iwe na usafiri wa kumchukua nyumbani na kumrudishia, sitaki shule zinazowashusha stand watoto na kuwaacha wabebwe na pikipiki..
Na shule iwe na record nzuri ya kufaulisha ...ada na matumizi yote isizidi 3m kwa mwaka.