Mhhh mbona mwaka jana ilkuepoNdio mkuu,ila hadi muda huu shule haijawekwa ARIS
Najua mkuu hayo mambo nmepitiaBado zinaongezwa kujaza mwisho jumapili ijayo(ni zoezi la wiki mbili,lilianza jumatatu)
Masomo Gan ww unasomaHongera.
Ulishahitimu tayari.
Mimi bado hadi 2019