Inawezekanaa maan mim nlishasoma form5 sema ada ikawa kubwa,,,sasa government watanikubali nisome alafu nifanye mthan privateAchana na Arusha huko njoo nikufanyie mpango uingie Kazima high school hapa Tabora government wanafanya vizuri sana hiyo michepuo
Iko wapi hizi shuleHebu jaribu KIBO SEC, MULAMA SEC
Nisaidie BC kama inawezekanaInawezekanaa maan mim nlishasoma form5 sema ada ikawa kubwa,,,sasa government watanikubali nisome alafu nifanye mthan private
Nisaidie bs kama inawezekanAchana na Arusha huko njoo nikufanyie mpango uingie Kazima high school hapa Tabora government wanafanya vizuri sana hiyo michepuo