GIUSEPPE
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 5,239
- 6,242
ISM ARUSHA ADA DOLA 18,400 kwa mwaka( boarding), hiyo m3 yako ni poketi money ya mtoto kwa mwezi.Thanks mkuu...ada zao zipoje...nataka at least around 3 m ada kwa mwaka...si unajua tena..
kwa mwanafunzi mpya analipia Capital Development Fee $ 1300x2 (for two years)
kisha deposit ya $ 600 ambayo ni refunded baada ya mtoto kumaliza shule.
Pesa ya mtihani $ 720 ( kwa madarasa ya mitihani mikuu)