Wewe hutafuti shule unaleta utaniIKIPATIKANA SHULE YA PRIVATE YA BWENI YA ADA LAKI TATU NA NUSU NITASHUKURU SANA.
KIVIPI MKUU?Wewe hutafuti shule unaleta utani
Kweli haupo serious, ni heri umbakishe mwanao huko kwenye shule ya government, yani unamtafutia private harafu bajeti yako ni hiyo ama sijakuelewa,kama una bajeti nzuri jipange anza kuulizia pale tengeru boys,IKIPATIKANA SHULE YA PRIVATE YA BWENI YA ADA LAKI TATU NA NUSU NITASHUKURU SANA.
Kweli haupo serious, ni heri umbakishe mwanao huko kwenye shule ya government, yani unamtafutia private harafu bajeti yako ni hiyo ama sijakuelewa,kama una bajeti nzuri jipange anza kuulizia pale Tengeru boys,
anataka shule ya 350,000 Tengeru si wa elimu ya kiwango hichowanapokea form two mkuu..coz namtoa shule ya goverment!
Zipo moshiHizi zipo Arusha au moshi mkuu...Thanks
Wakuu heshima kwenu...naomba msaada wa ufahamu wa shule nzuri ya O-oleval kimazingira na kitaaluma ya private kati ya mkoa wa Arusha /moshi...iwe na sport coz dogo anapenda football sana...iwe ya boys au mchanganyiko.
Nawasilisha
Thanks mkuu...ada zao zipoje...nataka at least around 3 m ada kwa mwaka...si unajua tena..Mkuu kwa hiyo mikoa miwili shule nzuri ni ISM(Internation School of Moshi) kwa hapa tz hiyo shule kwanza haina mpinzani na mwanao atacheza mchezo yote anayotaka.
ISM ina kampus Arusha
NB: Hii ndiyo shule aliyosoma billionea no moja TZ Mohamed Dewji