Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,903
Jamani amesema Arusha na Moshi, Mabibo ni nje ya eneo analotaka.
form mwisho ilikuwa mwisho wa mwezi uliopita mkuu...20000/=tsh yap inamchepuo wa sayansi na biashara.Umechukua lini fom mkuu
Fom bei gani
Shule inamchepuo wa sayans na biashara?
Je ada shngap?
Nijulishe
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Naomba registration No ya hiyo shuleform mwisho ilikuwa mwisho wa mwezi uliopita mkuu...20000/=tsh yap inamchepuo wa sayansi na biashara.
Fees-2.8 hivii kwa mwaka..though form one itazidii hapo kwa ajili ya manunuziii....!
Sent using Jamii Forums mobile app
google.mkuu....tengeru boys Sec school utapata!Naomba registration No ya hiyo shule
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Fwatilia shule inaitwa kilimanjaro boys sec!wakuu heshima kwenu
Msaada wa shule nzuri ya private kwa kijana wa kiume atakayejiunga form one...naomben mapendekezo yenuu...
Nishachukua form ya Tengeru boys so nataka na mawazo ya nyingine pia.Thanks