Ninafikiria kuleta trekta langu dar baada ya msimu wa kulima mwezi wa pili.Ningeomba msaada kwa mwenye idea nini naweza fanya hapa dar nkapata kipato wakati nasubiria msimu.
Unaweza kuwa creative na kulitumia kubeba maharusi. Utahitaji kibali cha kubeba abiria nadhani ili trafic wasikusumbue...
Braza... Umechomoka Chimbo..?Mkuu,
Tuwasiliane nikuunganishe na rafiki yangu,ubebe Taka,Dar.inabidi uwe na TRailer,Tracktor lako linavuta tani ngapi?
Kaka naomba namba yako haraka_nina ekar 100 mpakan mwa Kigoma/Tabora nataka nianze kuzilima mwez March
Mkuu,
Tuwasiliane nikuunganishe na rafiki yangu,ubebe Taka,Dar.inabidi uwe na TRailer,Tracktor lako linavuta tani ngapi?
Nicheki katika 0766515151
Mkuu hiyo trecta yako ni dizaini gani?
- Ila trecta kama trecta ni multpurpose sema tu sisi tunaelewa kwamba kazi yake ni kulima na kuvuta tela tu.
- TRECTA INAFANYA SHUGHULI NYINGI SANA, KUNA MITAMBO MINGI SANA INAWEZA ENDESHWA KWA KUTUMIA TRCTA.
1. MASHINE YA KUFYEKA MAJANI
2. MASHINE YA KUSAGA/KUKOBOA NAFAKA
3. MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI
4. MTAMBO WA KUVUNA MAHINDI NA MITAMBO YA KUVUNA MAZAO MBALIMBALI
- SEMA TU HUWA TUNAUZIWA TRECTA LIKIWA NA JEMBE NA TELA PEKEE, BUT TRECTA INAFANYA KAZI NYINGI SANA PALE KATIKATI YA TAILI MBILI ZA NYUMA KUNA SHAFTI, ILE SHAFTI NI MULTIPURPOSE SANA NA WAMEIWEKA PALE WAKIJUA KWAMBA TRECTA SI KWAMBA IFANYE KAZI ZA KULIMA TU,
UKIWA NA MITAMBO YAKE YOTE ILE NI KAMA KIWANDA, WEWE NI KUWEKA MAFUTA TU
Sioni zaidi ya kulima kama kuna kazi nyingine ya tractor
nshachomoka ,niko kitaa nafukuzana na Dili,2012 lazima nifanye kweli kiuchumiBraza... Umechomoka Chimbo..?
nshachomoka ,niko kitaa nafukuzana na Dili,2012 lazima nifanye kweli kiuchumi
kama trector yako ni 4x4 whell drive huwa nazikodi bila ya jembe ni tractor tupu na hulipa tsh 3million kwa mwezi dereva wako atalala kambini kwangu na kula kwangu mshahara utampatia wewe ukiharibika pancha juu yangu ikisimama zaidi ya masaa 5 hatulipi siku hivi sasa niko likizo nakula bata , kazi itaanza tena feb malipo kila mwezi hakuna advance , servise juu yako , kazi yake ni kuvuta air compessor porini kwasiku nzima inafanya kazi kama masaa 5 kwani kila mita 50 ikitembea tuachimba kisima wakati tukichimba dereva wako amelala na trekta imekaa tuu kwa mawasiliano tel +4796887028
Sioni zaidi ya kulima kama kuna kazi nyingine ya tractor