Kisesa Yetu
JF-Expert Member
- Aug 2, 2015
- 434
- 344
Wadau naomba kuuliza kama kuna mtu anafahamu duka dar es salaam wanapouza sheet za karatasi nyepessi pamoja na nzito zinazotumika kutengenezea ma box pamoja na mifuko.....natanguliza shukrani
Wanapatikana wapi hapa dar es salaam?Mufindi paper mills utapata
Mufindi paper mills utapata