Plot4Rent Natafuta Shamba

real fisher

New Member
Mar 1, 2016
4
0
Habari za asubuhi ndugu zangu. Natafuta shamba la kukodisha ili nifuge kuku. Liwe la hekari tatu, pia liwe Dar au nje ya Dar (Pwani) ila isiwe mbali na Dar es salaam. Mwenye nalo aniPM tafadhari. Asanteni sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom