Mkuu jaribu maeneo ya pale mikese. Ukishuka pale mizani jaribu kufanya upelelezi kwa kuwaulizia wale vijana waendesha bodaboda, wao wanajuana na wamiliki wengi na maeneo mengi pia.
ni elfu 10 ivi but ni tetesi tu!
Kuna acres 1000 kama una ubavu na uko serious contact me on +255766263605 na +255712656122....Wadau natafuta shamba/pori la kununua mkoani Morogoro hasa katika maeneo ya Mikese,Dumila,Kilosa,Mvomero au Dakawa,liwe linafaa kwa kilimo cha mpunga/liwe eneo linalowezekana kufanya kilimo cha umwagiliaji
Bei Muhimu!!Kuna acres 1000 kama una ubavu na uko serious contact me on +255766263605 na +255712656122....
Wewe tu
Kuna acres 1000 kama una ubavu na uko serious contact me on +255766263605 na +255712656122....
Wewe tu