hapana hujaingilia kwa ubaya mkuu tena nashkuru Sana kwakufikisha ujumbe nzur kwa jamii.nikweli kampuni yetu inajitahd Sana kufikisha huduma ya ardhi kwa uhakika salama thabiti na kwagharama za chini Sana.wengi walipitia VKP investment hakika wana amani kutatua nasi swala la upatkanaji WA ardhi. Asante snTobaaaa, nimeingilia ajira ya watu kutoa maelekezo, ha ha haaa. Asante Mkuu. Mteja wenu huyo. mimi mmenisaidia sana ndio maana nimejikuta nina kimbelembele. ha ha ha.