Wadau, Wakuu, Ndugu Na Jamaa
Natafuta Shamba Maeneo Ya Bagamoyo Mpaka Msata Ekari 25, Pawe Tambarare, Uoto Wa Asili Ila Lisiwe Na Milima Au Mabonde, Nina Milioni 12. No Washika Vibendera
HABARI NJEMA*
VKP (Real Estate) Company (yenye usajili no. *299964*) iliopo mbezi beach tang bovu ina huduma zifuatazo;
kukopesha mashamba na viwanja kwa bei nafuu bila riba wala dhamana;
miradi ya ujenzi
Upimaji wa Ardhi.
Mashamba yako bagamoyo (fukayosi) 15km kutoka barabara kuu
Kuna plots zipo kigamboni na bagamoyo pia.
*ULIPAJI*
mkopo miez 12 mwezi wa kwanza unalipa 25% then 10% kwa miezi 4, then iliobaki unalipa 5% kwa miez 7...
MASHAMBA yetu yanauzwa kwa sh mil 1.65 kwa eka 1
Eg. Shamba mil.1.65 mwez wa kwanza utalipa 25% Inayofuata- 10% kwa miezi 4, then utalipa 5% mpk mwez wa mwsho.
VIWANJA vimepimwa na kukatwa kwa square meter.
a) *Kigamboni*- makazi 1sqm = 10,000
Makazi na biashara =10,660 ukivuka mapinga
C)Eneo lipo
Kata :kerege
Mtaa:tumbo
Umbari:km 9 kutoka barabara kuu ya lami hadi baharini
-6 km kutoka barabara kuu ya lami hadi mradi
-3 km kutoka katika mradi hadi baharini
-sqm 1 ni tsh 15,000/=
-maji ya dawasa yapo
-makazi yapo, miradi mingine ipo inafanyika
D) *Ujenzi* wa nyumba za aina zote na za kisasa kwa mkopo wa miezi 12(mwaka mmoja), gharama zetu ni nafuu sana........!
Utalipa 25% ya gharama zote na hyo 75% iliyobaki itagawanywa ktk miezi 11 iliyobaki ambapo utalipa 10%miez 6 na 5% kwa miez 7 iliobaki ili kukamilisha mwaka mzima.
*MILIKI ARDHI KUANZIA TSH MILLIONI 2 NA KUENDELEA*
*EPUKA UNUNUZI WA VIWANJA/MASHAMBA KWA MADALALI*
*MAWASILIANO ZAIDI:*
+255(0)612183055
+255(0)757783401