Natafuta Shamba Maeneo Ya Bagamoyo Mpaka Msata

Wadau, Wakuu, Ndugu Na Jamaa

Natafuta Shamba Maeneo Ya Bagamoyo Mpaka Msata Ekari 25, Pawe Tambarare, Uoto Wa Asili Ila Lisiwe Na Milima Au Mabonde, Nina Milioni 12. No Washika Vibendera
Hiyo hela yako ya kununulia simu utapata wapi shamba la heka 25. Au unachekesha maiti ziamke.
 
Duhhh, 25 acres, 12 mil. In bagamoyo, So amazing

Kwanini Amazing Kwani Mil 12 Ndogo Mkuu,

Mwenye Nalo Atatamka Bei Anayotaka,

Sitaki Viwanja Nataka Shamba Tena Liwe Mbali na Barabara Na Makazi Ya Watu Pia
 
Ninavyojua ekari 25 huko msata ni million 250 maana kila ekari ni million 10. Ukifika Bagamoyo sehemu za mapinga ekari moja ni million 30.

Ahsante Mkuu Ngoja Nibadili Mwelekeo Sinunui Mgodi Nataka Shamba Lenye Uoto Wa Asili

Mbele Ya Msata Hapo Kuna Mashamba Yanagawiwa Bure Kwanini Nitoe Milioini 250
 
Wadau, Wakuu, Ndugu Na Jamaa

Natafuta Shamba Maeneo Ya Bagamoyo Mpaka Msata Ekari 25, Pawe Tambarare, Uoto Wa Asili Ila Lisiwe Na Milima Au Mabonde, Nina Milioni 12. No Washika Vibendera
Kwa eneo la Bagamoyo naona kama hela uliyonayo ni kidogo lakini masharti ni mengi!
 
Una uhakika? Utakuwa ni utapeli na kesho yake wanakutoa baru. Hakuna cha bure siku hizi hapa Tanzania isipokuwa hewa ya oxygen ingawa nayo lazima uilipie indirect
 
Kwa eneo la Bagamoyo naona kama hela uliyonayo ni kidogo lakini masharti ni mengi!

Mkuu Nimeona Wengi Wanasema Sijui Kiko Karibu Na Barabara, Kina Mananasi au Machungwa Sijui Kibanda Eka Milion 1

Ila Mimi Nataka Kiwe Porini Mbali Na Makazi Ya Watu Na Kiwe Tambarare Hata KM50 Kutoka Barabarani

Tatu Hiyo Ni Offer Mtu Mwenye Nacho Anaongea tu Kuliko Nianze Kulipuka Mwenyewe
 
Nimekupata. Hicho cha eka moja halafu kina machungwa au nanasi na au kibanda kwa 1m/= hata mimi ningekipenda!
 
Wadau, Wakuu, Ndugu Na Jamaa

Natafuta Shamba Maeneo Ya Bagamoyo Mpaka Msata Ekari 25, Pawe Tambarare, Uoto Wa Asili Ila Lisiwe Na Milima Au Mabonde, Nina Milioni 12. No Washika Vibendera
karibu VKP investment. Shamba utapata. Kwa bei ya 1.6 M. Kwa eka1. 0757783801
 
Nenda bagamoyo fukayosi mkuu, wasikutishe mm nilinunua 400k per acre last year na sasa ivi wenyeji wanasema yameshuka bei kwa hvo dau lako liko poa
 
Back
Top Bottom