Natafuta shamba la kununua

Natafuta shamba la kununua

wakuu nahitaji shamba la kununua liwe sehemu nzuri linalofaa kwa kilimo

mkuu,nina shamba morogoro wami dakawa,lipo pembeni a mto ,heka 30,linafaa kwa kilimo cha mpunga,na hata mbogamboga,ni shamba zuri sana hutojutia.kutoka wami dakawa barabarani ni kama 5 km,gari inafika mpaka shambani.
bei ni 9m.

0767210378
 
mbona hupatikani sasa
 
Karibu morogoro, mashamba mkundi na dumila! Bei ni sh. laki 8 kwa heka! Nauli kutoka Moro mjini hadi hapa ni sh. 1500Tshs tu! Ni-PM kama unahitaji.
 
Kama una interest ya kulima mananasi ya uhakika, kuna mashamba Kiwangwa Bagamoyo. wewe ni PM tu. Mashamba yapo along barabara mpya ya Dar Bagamoyo Msata Moshi.
 
Ni bei gani kwa ekari moja?
 
Kama una interest ya kulima mananasi ya uhakika, kuna mashamba Kiwangwa Bagamoyo. wewe ni PM tu. Mashamba yapo along barabara mpya ya Dar Bagamoyo Msata Moshi.

Mambo vipi ndugu yangu hayo mashamba bado yapo???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom