Natafuta shamba la kununua - korogwe

Natafuta shamba la kununua - korogwe

KDS

Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
46
Reaction score
15
Wana JF, nataka kuwekeza kwenye kilimo hapa korogwe kama kuna yeyote mwenye ardhi inauzwa tafadhali ni PM,
  • eneo lisiwe umbali unaozidi 20km toka korogwe mjini
  • eneo liwe angalau kuanzia eka 4
  • lisiwe na mazao ya kudumu kama michungwa au minazi mingi
nawatakia jioni njema.
 
Ngoja nivizie hapahapa maana pia nina mpango wa kutafuta eneo/shamba mombo!
 
Back
Top Bottom