Wadau hamjambo, nataraji kujiunga na masomo Saut Mbeya, ila nataka pia kujishughulisha na kilimo hasa maharage, mwenye uelewa wa namna ya kupata mashamba ya kukodi plz anijuze

Sh 800 nauli toka mjini.Mwezi wa kupanda mahindi 11-12,maandalizi ni sasa.mbalizi ni mjini kabisa.Utapiga ndege wawili kwa mpigo.Tafuta watu wa mbalizi wakutafutie mashamba.Kule alizeti ndo kwake.