Natafuta shamba la kukodi Mbeya maeneo yanayo fikika kirahisi kutoka mjini

Ksongoro

Member
Apr 1, 2016
57
22
Wadau hamjambo, nataraji kujiunga na masomo Saut Mbeya, ila nataka pia kujishughulisha na kilimo hasa maharage, mwenye uelewa wa namna ya kupata mashamba ya kukodi plz anijuze
 
Nenda mbalizi kodi mashamba,heka inacheza 100000.Utalima mahindi mweziu wa 11.utayahudumia mwezi wa 3 utapukutisha majani yote na kuacha muhindi yakauke kisha utapanda maharage.kilimo kimoja amaizing.Nenda mbalizi utapata connection kulekule
 
Mkuu nipo impressed na Mbalizi. Ni umbali gani toka Mbeya mjini? Gharama zikoje km kukodi chumba cha kusimamia wakati wa kilimo?
 
Sh 800 nauli toka mjini.Mwezi wa kupanda mahindi 11-12,maandalizi ni sasa.mbalizi ni mjini kabisa.Utapiga ndege wawili kwa mpigo.Tafuta watu wa mbalizi wakutafutie mashamba.Kule alizeti ndo kwake.
 
Tafute chumba cha ten kama huna vitu vya thamani sana,unaweza ingia ndani ndani ukafanya kazi zako kwa amani
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom