blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,640
- 9,380
Lipo maeneo ya mzumbe pia kuna lingine maeneo ya mikese heka 50Lipo sehemu gani.una GPS ya eneo.naomba maelezo zaidi nifanye tathimini ya mahitaji yangu
Lipo maeneo ya mzumbe pia kuna lingine maeneo ya mikese heka 50Lipo sehemu gani.una GPS ya eneo.naomba maelezo zaidi nifanye tathimini ya mahitaji yangu
Kuna nini hapo shambani inachofanya eka moja kuuzwa shilingi laki 8 mkuu?Ni shamba! heka moja ni laki 8 zipo heka 30.
Heka 5-10, Mandela iko sehemu gani
Karibia na MsataHeka 5-10, Mandela iko sehemu gani
Mkuu barabara ipo karibu pia umeme umepita karibu. Hakuna bondeKuna nini hapo shambani inachofanya eka moja kuuzwa shilingi laki 8 mkuu?
Nikimaanisha ni karibu na bonde, kuna maji ya uhakika karibu, barabara inafika shambani n.k.
Asante sana mkuu.Mkuu barabara ipo karibu pia umeme umepita karibu. Hakuna bonde
Wazo zuri mnooKuna Mashamba huwa yanauzwa na makampuni haya huwa ni Salama japo bei huwa juu pia uruhusu kulipia kwa awamu hata zaidi ya mwaka.Unaweza jaribu hayo,au nenda eneo husika kutana na wakazi wa kule waelezee shida yako,watakuonyesha mashamba ukiridhika,rudi kinyume nyume siku nyingine kuwapeleleza tena uhalali au uaminifu wa waliokupeleka na umiliki halali wa maeneo hayo.
Mkuu biashara ya kuchoma na kuuza mkaa hujaacha? King Kong IIIMwenye Shamba lenye miti mikubwa ekari nne maeneo ya kiwangwa au kama Lugoba/Msolwa(Ekari 1) lenye mawe meusi ni PM.
Bado ila sasa mambo tyt mali asili wanabana nataka nibadili eneo la kukata mkaa nije pwani au nichimbe kokoto na kuzigonga na kuuza.Mkuu biashara ya kuchoma na kuuza mkaa hujaacha? King Kong III
Aiseee nachojua mimi ni wilaya Bagamoyo , mkoa wa Pwani maarufu sana kwa kilimo na ufugajiSawa.nipe maelezo jinsi lilivyo
Me namshauri kama bado hajanunua aende kwa makampuni ya real estate asiogope gharama cozKuna Mashamba huwa yanauzwa na makampuni haya huwa ni Salama japo bei huwa juu pia uruhusu kulipia kwa awamu hata zaidi ya mwaka.Unaweza jaribu hayo,au nenda eneo husika kutana na wakazi wa kule waelezee shida yako,watakuonyesha mashamba ukiridhika,rudi kinyume nyume siku nyingine kuwapeleleza tena uhalali au uaminifu wa waliokupeleka na umiliki halali wa maeneo hayo.