Natafuta shamba Busega Simiyu

Ottician

Senior Member
Jul 6, 2019
103
81
Habari wakuu natafuta shamba la hekari tano linalouzwa ndani ya wilaya ya busega, lisiwe mbali na barabara kuu ya Sirari-Mwanza.
1. Sio lazima liwe limesafishwa
2. Urahisi wa kupata maji
3. Lisiwe na migogoro yoyote ( mimi ni kijana nayejaribu kujikwamua, sitaki kesi)
4. Bei kwa heka moja isizidi 300,000/=
 
Wakuu mchango wenu tafadhari, hata eneo lingine kanda ya ziwa itakuwa sawa
 
Mkuu nakupigia hupokei
nipo jijini mwanza

pia kwa wanaohitaji mashamba makubwa kwa ajili ya uwekezaji kama shule hospitali kilimo n.k mnitafute.

nina shamba la eka 25 kisesa liko karibu na barabara, Tshs mil 100.

nina shamba la eka 8 linahitaji mteja Tsh 12million

nina maeneo mengi sana buswelu, fumagila, bujingwa, igoma, kishili

karibuni sana mje mjionee wenyewe tufanye biashara.

serious customers, call me 0683011003
 
Back
Top Bottom